Watanzania wakiifurahia ROYAL MALT kinywaji kipya na chenye kukufanya uwe na furaha muda wote.
Monday, August 30, 2010
ROYAL MALT YAINGIA SOKONI KWA KASI YA AJABU
hivi ndivyo ionekanavyo ROYAL MALT,kinywaji kipya kabisa na cha kisasa kisicho na kilevi cha aina yeyote.kinywaji hiki sasa hivi kinapatikana kwa wingi hapa nchini kupitia wakala wake JALUMA GENERAL SUPPLIES LTD kwa bei ya jumla na reja reja,pia unaweza kukipata katika masuper market na maduka mbalimbali yaliopo katika Mikoa ya Mwanza,Arusha na Mbeya.( Mwanza - Life General Supplies Ltd, Arusha - Masuki Supplies Ltd,Mbeya - Iwawa Company Ltd).Kunywa sasa ROYAL MALT upate furaha iliyo thabiti.FURAHI NA ROYAL MALT,UNYWAPO INAKUPATIA FURAHA KAMILI.
Magari ya JALUMA GENERAL SUPPLIES LTD yakiwa tayari kwa kazi ya kuwafikishia wateja wao kinywaji cha ROYAL MALT.
Subscribe to:
Posts (Atom)